Kielezo cha Insha ndio mwongozo wa kwanza kabisa wa uandishi wa insha katika lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki kilichapishwa mwaka 1954 na matbaa ya Chuo Kikuu cha Witwatersrand cha Afrika Kusini. Baada ya Uhuru wa Tanzania mwaka 1961, kitabu hiki hakikupatikana kutokana na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi ya utawala wa kibaguzi wa Afrika Kusini. Kitabu kinazungumzia masuala muhimu katika uandishi wa insha, yakiwamo: madhumuni ya kufundisha uandishi wa insha shuleni, aina za insha, maandalizi ya kuandika insha, lugha ...
Read More
Kielezo cha Insha ndio mwongozo wa kwanza kabisa wa uandishi wa insha katika lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki kilichapishwa mwaka 1954 na matbaa ya Chuo Kikuu cha Witwatersrand cha Afrika Kusini. Baada ya Uhuru wa Tanzania mwaka 1961, kitabu hiki hakikupatikana kutokana na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi ya utawala wa kibaguzi wa Afrika Kusini. Kitabu kinazungumzia masuala muhimu katika uandishi wa insha, yakiwamo: madhumuni ya kufundisha uandishi wa insha shuleni, aina za insha, maandalizi ya kuandika insha, lugha na mtindo, ushikamani, uwiano mzuri, matumizi ya alama za vituo. Kitabu hiki pia kimejumuisha insha 60 za mfano zinazowakilisha aina mbalimbali za insha zilizojadiliwa katika utangulizi, na kuakisi mawazo na mtazamo wa mwandishi - Robert kuhusu masuala anayoyajadili. Mada zinazojadiliwa ni pamoja na zile ambazo zilikuwa motomoto katika jamii wakati huo, kwa mfano 'ndoa za siri', utamaduni, mazingira, lugha na utaifa, uzalendo, unyanyasaji wa wanawake, afya na maana ya maisha na kifo Baada ya kupotea kwa zaidi ya miaka sitini, Matbaa ya Witwatersrand yameamua kukichapisha kitabu hiki tena kutokana na thamani yake ya kihistoria na ufaafu wa kudumu wa maarifa yaliyomo. Kitabu hiki ni mfano tosha wa elimu na ujuzi wa mafunzo bora ya uandishi wa Robert.
Read Less
Add this copy of Kielezo cha Insha to cart. $29.13, new condition, Sold by Ingram Customer Returns Center rated 5.0 out of 5 stars, ships from NV, USA, published 2024 by Wits University Press.
Add this copy of Kielezo Cha Insha to cart. $29.59, new condition, Sold by Just one more Chapter rated 3.0 out of 5 stars, ships from Miramar, FL, UNITED STATES, published 2024 by Wits University Press.
Add this copy of Kielezo cha Insha to cart. $30.65, like new condition, Sold by GreatBookPrices rated 4.0 out of 5 stars, ships from Columbia, MD, UNITED STATES, published 2024 by Wits University Press.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
Fine. Text in English, Swahili. In Stock. 100% Money Back Guarantee. Brand New, Perfect Condition, allow 4-14 business days for standard shipping. To Alaska, Hawaii, U.S. protectorate, P.O. box, and APO/FPO addresses allow 4-28 business days for Standard shipping. No expedited shipping. All orders placed with expedited shipping will be cancelled. Over 3, 000, 000 happy customers.
Add this copy of Kielezo cha Insha to cart. $30.89, new condition, Sold by GreatBookPrices rated 4.0 out of 5 stars, ships from Columbia, MD, UNITED STATES, published 2024 by Wits University Press.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
New. Text in English, Swahili. In Stock. 100% Money Back Guarantee. Brand New, Perfect Condition, allow 4-14 business days for standard shipping. To Alaska, Hawaii, U.S. protectorate, P.O. box, and APO/FPO addresses allow 4-28 business days for Standard shipping. No expedited shipping. All orders placed with expedited shipping will be cancelled. Over 3, 000, 000 happy customers.